Tuesday, January 03, 2006

JE NI KWELI SWALA HILI LAWEZA KUWA KIKWAZO KATIKA UTENDAJI WA PCB?

Nimekuwa nikjiuliza maswali bila kupata majibu ya moja kwa moja juu ya swala zima la ruswa hapa nchini,itakuwaje mazingira ya ruswa yanajibaini wazi wazi na kana kwamba hiyo haitoshi mashairi ya kuomba rushwa yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku katika secta za serikali na binafsi pia utasikia toa chai, mara soda,mara ongea vizuri.
Itakumbukwa kwamba wakati wa mh.mkapa iliundwa tume ya kupambana na ruswa hapa nchini(PCB)lakini cha kushangaza tume hii imekuwa inakosa ushaidi wa kutosha kumtia mtu hatiani.Wengi tumeshuhudia katika kipindi kilicho pita katika chaguzi hapa nchini Tanzania,wengi kati ya wagombea wa nafasi mbali mbali walitumia pesa zao kutafuta madaraka na dhamana ya kuiongoza nhi hii na ikama mtakumbuka hata Mh.Rais wa sasa aliliongelea katika hotuba yake ya kwanza kwa bunge.Kuwa anajua yakwamba wapo viongozi miongoni mwa wale waliokuwa wakimsikiliza ambao walitumia pesa kupata madaraka.Sasa swali linakuja hii tume ya kudhibiti rushwa inashindwaje kuwatia hatiani watu au viongozi kama hawa?Je kunahaja ya hii sheria ya rushwa kufanyiwa malekebisho kwa sababu kwa mujibu wa sheria mtoaji na mpokeaji ruswa wote wawili wanahatia kisheria sasa itawezekanaje kumtia mtoa ruswa hatiani inhari mpokeaji hayuko tayari kutoa ushaidi wa kupokea ruswa kutokana na sheria ya nchi kumbana yeye pia.Nafikiri ni muda muafaka sasa kuitazama upya sheria hii ya ruswa vinginevyo PCB itaendelea kuwepo na ruswa itaendelea kushamiri.

3 Comments:

At 2:25 AM, Blogger mark msaki said...

phabian umeonge point kali sana. kwenye blogu langu niliandika "barua ya wazi kwa raisi mpya wa jamuhuri ya muungano". kwa sehemu kubwa niliainisha jinsi gani PCB ilitakiwa ifanye kazi kinyume na ilivyo sasa. siwezi kuamini kwenda kumtia mwenzenu majaribuni, ili mumpe hela za mtego na mumshike ni njia nzuri ya kupambana na rushwa. saa nyingine hata chuki binafsi inaweza kutumika kukamata vizee mahakama za mwanzo wakipokea buku 15. nilishauri PCB ifanye kazi kwa kuangalia mikataba ya serekali kwa umma kwani kutokamilika/kutotekelezwa mikataba hiyo ndio chanzo kikuu cha rushwa. heri ya mwaka mpya!

 
At 5:29 AM, Blogger Mikundu Matako Makalio Manundu said...

Anaependa mikundu atembelee blogu ya Mzee Mikundu

Duuuhhhhh, hebu jipumzisheni na siasa kwa kumtembelea Mzee Mikundu kwenye blogu yake,

http://mikundu.blogspot.com/

Kidogo mjiliwaze na hayo ma-text marefu marefu. Tazameni Mikundu, Matako mpate kupiga punyeto vizuri

 
At 4:50 AM, Anonymous alat bantu sex said...

thank you sir for the news you give this. really very good indeed. and I want to add a little bit of information specifically for adult men and women.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home