Wednesday, January 11, 2006

INAWEZEKANA KABISA KAMA TU TUTASEMA TUNACHO MAANISHA NA KUTENDA KWA VITENDO KILE TUNACHOJIPANGIA KUTOKA KATIKA HISIA ZETU

Kama isivyo wezekana kwa binadamu kuota ndoto pasipo na usingizi,vivyo hivyo ni ngumu kabisa kwa karne hii kwa mtu yeyote yule anyekusudia kwa kila hari kutimiza adhma yake kwa kile alicho jipangia na kujitumainisha kwacho kama daraja na kivuko imara dhidi ya mkondo kasi wa maji ya umasikini ulio kithiri.Na kama ilivyo katika viungo vya mwili hakuna hata kimoja kinacho thubutu kutegea kiungo kingine na kana kwamba hiyo haitoshi viungo hivi vya mwili ushiliki maumivu na shida ipatikanayo katika kiungo kimojawapo.Kwa hiyo kama hivyo ndiyo basi malengo na ndoto zetu juu ya kesho iliyo bora na yenye nafuu zaidi ya jana hazina budi kwenda sambamba na tahadhari endelevu dhidi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI.Ni ngumu sana kuchukua tahadhari yakinifu na endelevu juu ya swala hili ndani ya mtu hasa pale unapo hisi na kujiona mwenye afya njema na furaha wakati wote na pia huwa ngumu zaidi pale ambapo utabaini kuwa siyo tatizo kwako kumudu gharama za maisha yako ya kila siku sambamba na kutoikosa mitoko ya mwisho wa wiki,sikatai ni kweli furaha ni sehemu ya maisha na kufurahia maisha sio dhambi,ila mtakubaliana na mimi kuwa robo tatu ya yale yanayo tendeka katika sehemu mbambali za starehe ni virutubisho sahihi vya tatizo hili(UKIMWI)Je unasherekea na kufurahia salama?au unarutubisha tatizo hili?Na pia ni rahisi mno kuhisi ushindi wa bwerere dhidi ya vita hii hatari kwa kuamini kutoka moyoni kuwa wewe si kama wale unoupendeleo fulani ambao unafikili utakushitua kabla ya wewe kujiunga na kundi lile ambalo linaishi kwa matumaini na siyo matumaini tu bali linaouhakika wa kumaliza ungwe yao mapema kabla ya muda wa kawaida wa mchezo kumalizika.Na kama invyofikirika na wengi katika fikra zetu kuwa ni ngumu kujitoa na kujitenga na yale yanayo aminiwa kuwa ni chachu na chanzo cha gharika hili.Lakini mambo ni tofauti kabisa kwa upande wa pili wa sarafu ni rahisi kabisa kwa yule aliye kwisha nasika kutimiza hayo yote bila shida endapo tu atapewa nafasi ya pili na Mwenyezi Mungu katika maisha yake hapa Ugenini(duniani).Ni mjadala ambao pengine unaweza kuwa hauna mvuto kwa haraka haraka na hili ni kwa sababu sawa hili linahitaji utayali wa mtu binafsi katika kulifanikisha,lakini kama kweli tumeamua kama wan blogu kuakikisha ifikapo elfu mbili na kumi kuwa mwaka wa mabadiliko basi hatuna budi kwenda sambamba na hii vita dhidi ya adui mkubwa UKIMWI.Kama ilivyo kwa familia yeyote ile inapokumbwa na tatizo hilihujikuta ikikabiliwa na bajeti isiyo rasmi lakini ya lazima na isyo kwepeka na gharama hizi ni kwa ajili ya matibabu ya mtu mmoja na matibabu haya uhitimishwa na gharama kubwa kabisa za mwisho ambazo si uzima bali ni mauti ya mgonjwa na shughuli nzima ya kumstili mwili wake.sasa kama familia uzaa kaya na kaya uzaa kata na kata uzaa wilaya na wilaya uzaa mikoa na mikoa uzaa taifa na taifa ndio mimi na wewe je nikipi basi kitakacho tunusulu kutoka kwenye gharama hizi kubwa ambazo kila kukicha waanga wake wanongezeka mamia kwa mamia?na sasa cha kusikitisha na kuuzunisha ni hili kundi ambalo hapo awali lilitumainiwa kuwa mkombozi lakini sasa wana ndoa nao imekuwa ngumu kwao kutoshelezana ndani ya ndoa zao na sasa wanaomba siti kwa kasi kabisa mbele ya msafara wa kundi la vijana ambao wameonekana kushindwa na kutotaka kuchukua tahadhari makini juu ya swala hili.Je ni kweli wanandoa wanacho kitafuta nje ya ndoa zao ni bidhaa hadimu katika nyumaba zao?Je ni kweli kwamba vijana tumeshindwa kabisa kufuata matumizi sahihi ya kinga zilizopo dhidi ya tatizo hili au ndio kusema thamani ya utu wetu hatuijui na kama hatuijui iweje basi tunatamani kuishi na kufikia malengo yetu inhali hatuko tayalri kupambana na tatizo hili?Ninaomba niishie hapa lakini wito wangu kwa wana blgu wote kama ilivyo kwa mada nyinginezo zenyekuifumbua macho jamii basi nafikiri hili ni muhimu pia kupewa uzito unaostahili ili Afrika iwe ni sehemu ya kuishi watu na si makaburi.

10 Comments:

At 12:44 AM, Blogger mloyi said...

Tunapendelea kukifanya kwa vitendo kile tunachofikiria, lakini kuna vitu vinatuingilia ili tusifanye.
Fikiria nia ya Raisi Kikwete ya kujenga Tanzania bora kwa kila mtu, unadhani wenzake! wanapenda? hata maneno yake wanayafurahia?.
Hivyohivyo kila mtu analotaka kulifanya, kama mimi nisivyotaka kuona kuna mwafrika analala njaa, lakini kuna vikwazo vingi sana vinanikabili!. Unakumbuka ulipokuwa mdogo hukutegemea kuishi kwa kuhangaika kama baba yako lakini wewe unahangaika zaidi yake,sijui ulikwama wapi! Marcus Garvey alijaribu kuwaunganisha waafrika wafikie ukombozi wa kweli, lakini alikwama, kama waliomtangulia!.
Tafakari za maisha zinatuingiza kwenye tafakari kubwa sana ambazo lazima tuzitafakari ili tupige hatua mbele. Hii tafakari ni kama kianzio cha maana sana bila kuelewa tafakari hii sidhani kama kuna nyingine mbele itakayofanikiwa.
Karibu kwenye huu ulimwengu wetu, tutafakari maisha kwa undani.

 
At 2:15 AM, Blogger Bwaya said...

Tatizo la UKIMWI linaongezeka katika jamii yetu kama ulivyojadili. Hata mimi nilikuwa nafikiri hivi kampeni zinazofanyika sasa, zinatuokoa au zinaangamiza zaidi jamii yetu? Bado natafakari.
Kazi yako ni nzuri.

 
At 12:57 AM, Blogger mark msaki said...

onyo zuri kabisa. ukimwi bwana ni tatizo, na kama ni kweli ilikuwa ni agenda ya wenzetu kutuundia hili gonjwa basi hesabu sao walizipiga vyema. tunavyoongea sasa hivi na wala sio uzushi hapa afika kusini asilimia 20 ni wagonjwa. kwa jinsi wanavyoingizwa kwenye programu za ARV..projection inaonyesha kuwa watu milioni 5 kwenye taifa la watu 42 milioni watakuwa wamefariki miaka mitano ijayo..siyo siri nilikwenda kwenye kijiji kimoja na kukuta makaburi 160 yameongezeka kwa mwezi na imefikia kipindi ardhi ya kuzikia inaleta mgogoro (wenzetu arhi sio kama nyumbani ambapo mapori tele. hapa unakuta yoote imemilikiwa na kuzungushiwa fensi kama sio ya kijiji)....asilimia 87 % ya ardhi inayolimika iko kwa mikono ya wakulima 60,000 wengi wa kizungu, tofauti na nyumbani ni kwamba yoote inazalisha.

nilisoma pale kwa michuzi dose ya ARV ni 20 - 80 000 kwa mwezi...jamani kuna haja ya kujirekebisha!

asante kwa mada!

 
At 5:26 AM, Blogger Mikundu Matako Makalio Manundu said...

Jamani hamchoki siasa na falsafa?

Duuuhhhhh, hebu jipumzisheni na siasa kwa kumtembelea Mzee Mikundu kwenye blogu yake,
http://mikundu.blogspot.com/
http://mikundu.blogspot.com/

Kidogo mjiliwaze na hayo ma-text marefu marefu. Tazameni Mikundu, Matako mpate kupiga punyeto vizuri, kwani wanasema mkono una-raha kuliko kuma, mkundu, mdomo, kwapa, Jee kweli?

 
At 4:09 AM, Anonymous Vimax Pills said...

thanks for nice sharing and good information

 
At 7:14 AM, Anonymous Vimax Canada said...

That's what everyone likes. You have a good imagination. Great post thanks you

 
At 8:34 AM, Anonymous pembesar penis said...

nice article, thanks

 
At 4:47 AM, Blogger Ely Fatmawati said...

VIMAX ASLI CANADA DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX CANADA DI MAKASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX IZON DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
OBAT PEMBESAR PENIS DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
OBAT PEMBESAR PENIS DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX HERBAL DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
AGEN VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
JUAL VIMAX ASLI DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
AGEN VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
DISTRIBUTOR VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX IZON DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI SENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
AGEN VIMAX DI DENPASAR | BALI | LOMBOK
OBAT PEMBESAR PENIS DI MAKASAR | BALI | LOMBOK
JUAL VIMAX ASLI DI MAKASAR | DI LOMBOK | DI BALI
AGEN VIMAX DI SENPASAR | DI LOMBOK | DI BALI
VIMAX DENPASAR | BALI | LOMBOK
VIMAX AALI CANADA DI DENPASAR | DI BALI | LOMBOK
VIMAX ASLI DI DENPASAR | DI BALI | DI LOMBOK
VIMAX DI DENPASAR | DI BALI | DI LOMBOK

 
At 4:51 AM, Blogger Ely Fatmawati said...

VIMAX ASLI CANADA
VIMAX ASLI
VIMAX canada
MANFAAT VIMAX
VIMAX CAPSUL
CIRI CIRI VIMAX
VIMAX
OBAT PEMBESAR PENIS
HARGA VIMAX
OBAT PEMBESAR PENIS
VIMAX HERBAL
VIMAX OBAT HERBAL
OBAT PEMBESAR PENIS
VIMAX
MANFAAT VIMAX ASLI
VIMAX CANADA
VIMAX ASLI
VIMAX CAPSUL
MANFAAT VIMAX CAPSUL
OBAT PEMBESAR PENIS
MANFAAT VIMAX ASLI
MANFAAT VIMAX
VIMAX
HARGA VIMAX CAPSUL
HARGA VIMAX ASLI
HARGA VIMAX

 
At 4:53 AM, Blogger Ely Fatmawati said...

VIMAX ASLI CANADA DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX CANADA DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX IZON DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
APOTEK VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
OBAT PEMBESAR PENIS DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
OBAT PEMBESAR PENIS DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX HERBAL DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX ASLI DI SURABAYA | DI SIDOARJO | DI MALANG
JUAL VIMAX ASLI DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
DISTRIBUTOR VIMAX DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
OBAT PEMBESAR PENIS DI SURABAYA | DI SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX ASLI DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
VIMAX ASLI CANADA DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG
AGEN VIMAX ASLI DI AURABAYA | AIDOARJO | MALANG
JUAL VIMAX DI SURABAYA | SIDOARJO | MALANG

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home