Tuesday, December 20, 2005

MIMI NAJA

Pokeeni salaam zangu mimi ni mwanablogu mpya kabisa,nimeamua kujiunga na uwanja huu ili kutoa na kuchangia machache nilio nayo.Hivyo ninapenda na kuhitaji msaada wa ushirikiano kutoka kwa wana blogu wenye mapenzi mema.

10 Comments:

At 7:46 PM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Tunakukaribisha kwa mikono yote tuliyonayo. Ni furaha ilioje kila anapotokea mwanablogu mpya. Tuko wote kusaidia, kuelimishana, na bila kusahau kuchekeshana maana kucheka ni dawa.

 
At 9:43 PM, Blogger Phabian said...

asante kaka ndesajo kwa kunikaribisha na kunipa wazo jipya kwamba mbali na kuelimishana pia kuchekshana ni moja ya sehemu ya shughuri ya mwanablogu.NASHUKURU SANA.

 
At 9:52 PM, Blogger Mija Shija Sayi said...

Umefika..jisikie nyumbani bwana Phabian.

 
At 10:58 PM, Blogger mark msaki said...

bwana phabian,

karibu sana! tunafurahi kila mara mwanamapindizi anapozaliwa! huu si mchezo wa kuigiza! ni muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa kizazi kijacho pengine kuliko hata chetu!!

jisikie uko nyumbani!

 
At 11:02 PM, Blogger mark msaki said...

bwana phabian,

labda nilisahau, ndesanjo alinipa wazo kuwa pia inabidi kutembelea maglopu ya wenzio na kutoa maoni. itakuweka kwenye mtandao!

akhsante

 
At 4:50 AM, Blogger mloyi said...

Lipi la muhimu zaidi kuwa katika mtandao huu au kutokuwa?
Tembelea kote uangalie.
Karibu

 
At 3:17 AM, Blogger mwandani said...

karibu

 
At 4:51 AM, Anonymous alat bantu sex said...

thank you sir for the news you give this. really very good indeed. and I want to add a little bit of information specifically for adult men and women.

 
At 4:52 AM, Anonymous vimax herbal said...

i like your post. thank

 
At 7:04 AM, Anonymous Vimax Canada said...

That's what everyone likes. You have a good imagination. Great post thanks you

 

Post a Comment

<< Home